Rais wa Zanzibar Mh. Dk. Shein azindua Maonesho ya Kilimo Kizimbani leo

DSC_7878

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe,Hamad Rashid Mohamed mara alipowasili katika Ufunguzi wa Maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani leo katika Viwanja vya eneo maalum lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,[Picha na Ikulu.] 10/10/2017.

DSC_7883

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali leo wakati  alipowasili katika Ufunguzi wa Maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani katika Viwanja vya eneo maalum lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,[Picha na Ikulu.] 10/10/2017.

DSC_7891

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe.Dkt.Islam Seif Salum (Mchenga) wakati  alipowasili katika Ufunguzi wa Maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani katika Viwanja vya eneo maalum lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 10/10/2017.

DSC_7899

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  alipokuwa akifungua pazia kufungua   Maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani leo katika Viwanja vya eneo maalum lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja (kulia) Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe,Hamad Rashid Mohamed ,[Picha na Ikulu.] 10/10/2017.

DSC_7906

Baadhi ya Viongozi mbali mbali na Wananchi waliohudhuria katika sherehe za Ufunguzi wa Maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani katika Viwanja vya eneo maalum lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja yaliyofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu.] 10/10/2017.

DSC_7913

Baadhi ya Vijana waliovalia sare na Wananchi wakiwa katika sherehe za Ufunguzi wa Maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani katika Viwanja vya eneo maalum lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,yaliyofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu.] 10/10/2017.

DSC_7921

Wanafunzi wa Skuli ya Dole wakiwa katika  sherehe za Ufunguzi wa Maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani katika Viwanja vya eneo maalum lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,yaliyofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu.] 10/10/2017.

DSC_7925

DSC_7933

Baadhi ya Viongozi mbali mbali na Wananchi waliohudhuria katika sherehe za Ufunguzi wa Maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani katika Viwanja vya eneo maalum lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja yaliyofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu.] 10/10/2017.

DSC_7936

Taasisi ya utafiti wa kilimo Zanzibar wakionnesha kazi zao wanazofanya katika maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani katika Viwanja vya eneo maalum lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja yaliyofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu.] 10/10/2017.

DSC_8029

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake kwa Wananchi mbali mbali na Viongozi waliohudhuria katika maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani katika Viwanja vya eneo maalum lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja alipoyafungua leo, [Picha na Ikulu.] 10/10/2017.

DSC_8118

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Viongozi wakiwa picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati ya maandalizi ya  maonesho ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani katika Viwanja vya eneo maalum lililotengwa Kizimbani Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja  leo baada ya kufunguliwa rasmi na Mhe.Rais Shein, [Picha na Ikulu.] 10/10/2017.
 
Sponsored by ZAMOTO MEDIA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini