SUA MABADILIKO YA TAREHE FOR ORAL INTERVIEW

Mabadiliko ya tarehe ya kuitwa kwenye Usaili (Oral interview)

Kufuatia maombi ya kazi na utaratibu wa awali wa usaili wa kuandika uliofanyika, mnaarifiwa kuhudhuria usaili (oral interview) wa nafasi ya Mhudumu wa misitu (Forest attendant ),
Mhudumu wa miliki/Mazingira (Estate Attendant III), Mhudumu wa mazao ya misitu (Logger attendant III) Mhudumu wa karakana (workshop attendant III),Mhudumu wa shamba/mifugo (field attendant III) kuanzia siku ya Jumatano tarehe 11.10.2017.|

👉👉Bofya hapa kwa maelekezo zaidi



from Angazetu - zoomTanzania,Kazibongo, ajirazetu, brighterMonday,Mkaguzi, ajirayako,scholarships,ugfacts
Sponsored by: Zamoto Media

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini