WAZIRI MPINA AANZA KATIKA WIZARA MPYA YA MIFUGO NA UVUVI

DSC_0009

Kushoto Waziri wa Mifupo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina akiongea na baadhi ya watumishi wa Wizara hiyo hawapo katika picha, katika Ofisi a Dar es Salaam mara baada ya kuripoti, katikati ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Abdalah Ulega kulia  ni Dkt. Yohana Budeba katibu Mkuu wa Wizara hiyo upande wa Uvuvi.

DSC_0015

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina akiweka sahini katika kitabu cha wageni cha Wizara hiyo mara maaba ya kuripoti.

DSC_0017

Kushoto Waziri wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina, akimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara Mpya ya Mifugo na Uvuvi upande wa mifugo Dkt. Maria Mashingo kulia, wakati wa mazungumzo mafupi mara baada ya kuripoti katika Wizara hiyo.

DSC_0008

Katika picha sehemu ya baadhi ya watumishi wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi wakifurahia jambo mara baada ya kuwapokea Mawaziri waliopewa dhamana ya wizara hiyo mpya, hawapo katika picha.

DSC_0020

Naibu Waziri wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdalah Ulega Akimsikiliza Waziri wa Wizara hiyo Mpya Mhe. Luhaga Joelson Mpina hayupo katika picha mara baada ya Mawaziri hao kuripoti katika Wizara hiyo katika Ofisi za Dar es Salaam.


Sponsored by ZAMOTO MEDIA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini