JE Wivu Kwa Mpenzi wako Unatokana na nini Hasa Kati ya Haya yafuatayo?

Kadri siku zinavyozidi tu kwenda mbele Kiwango cha Wivu baina ya ama Wapendanao walio pamoja au hata wale waliokuwa Wapenzi na wakaachana ndiyo kinaongezeka tena kwa Kasi sana hadi kusababisha Watu wengi kuamua Kujitoa uhai au kumtoa uhai mlengwa wake au hata kujidhuru kabisa Yeye kama Yeye au kufanya tukio la ajabu ambalo Kibinadamu linastaajabisha na halikutegemewa.

Je katika haya yafuatayo ni vitu gani ndiyo huongeza zaidi Kiwango cha Wivu baina ya Wapendanao au walioachana hadi wanafikia hatua Kali hizo tajwa hapo juu?

  • Kulikumbuka tendo la ndoa la mwenza wake?
  • Kukumbuka hasa yale manjonjo ya Kitandani ya mwenza wake kabla ya kuanza Kutinduana / Kungonoka / Kubaiolojiana?
  • Kukumbuka maumbile ya mwenza wake Mkuyenge / Mbunye hasa Kiutamu na Kimwonekano?
  • Kukumbuka jinsi mwenza wake anavyomjali / alivyokuwa akimjali Kimaisha?
  • Kukumbuka ahadi na mwenza wake hasa katika Mahusiano yao?
  • Kukumbuka jinsi alivyohangaika kumpata, kumgharamikia na kumvumilia?
  • Kuamini kwamba hatoweza tena kumpata mwenza wake kama huyo tena katika maisha yake?

ANGALIZO

Sihitaji jibu la kwamba majibu yote ni sawa / sahihi bali nahitaji jibu moja tu kutoka katika hayo mambo Saba ( 7 ) niliyoyaorodhesha hapo juu. Huenda majibu yenu ya hapa yakasaidia katika kupatikana kwa ufumbuzi wa hili tatizo kubwa la sasa la Wivu na Watu kuchukua hatua Kali na za Hatari juu ya Wenza / Wapenzi wao.

Karibuni sana na mno!

Nawasilisha.
Sponsored by ZAMOTO MEDIA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini