Hii Hapa Chocolate Yeye Thamani Sawa na HARRIER

Chocolate Yeye Thamani Sawa na HARRIERInawezekana wewe ni moja kati ya watu wanaopenda chocolate kama kitafunwa (snack) lakini je umewahi kuhisi kuna chocolate ya gharama ya juu zaidi kiasi cha kupelekwa kwenye maonyesho ya biashara?.

Basi March 16, 2018 chocolate inayodaiwa kuwa ya gharama ya juu zaidi duniani ilipelekwa kwenye maonyesho ya biashara kwenye Mji wa Obidos nchini Ureno.
Sponsored by ZAMOTO MEDIA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini