Serikali iwakumbuke watu kama hawa!


Hawa ndio watu wanaohitaji msaada, hebu sikia maneno ya huyu mzee, inasikitisha  sana! wanaishi maisha ya kubahatisha, huyu mtoto Antony" ndio msaada kwa familia akienda kutafuta ndio alete familia, mama alishafariki, Jamani serikali iko wapi? 
Angalia video ya Antony akidai kumshitaki baba yake baada ya kuona anataka kuuza shamba



Sponsored by ZAMOTO MEDIA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini