VIDEO: EXCLUSIVE: LIPUMBA Aibuka Leo Na Kumtupia Dongo Maalim Seif

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF ambaye anatambulika na Msajili wa vyama vya siasa, Profesa Ibrahim Lipumba ameibuka leo katika mkutano wa chama hicho na kumtupia dongo Katibu Mkuu wake, Maalim Seif Hamad akimuita mbinafsi huku akisema chama hicho kimemdekeza sana.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI


Sponsored by ZAMOTO MEDIA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini