VIDEO:Zitto Kuishauri Zanzibar iishtaki Tanzania, Ayataja Maandamano

Kiongozi Mkuu wa Chama Cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema hafahamu kuhusu maandamano yanayotajwa na viongozi wakubwa Serikalini huku akisema kuwa amedhamiria kuishauri Zanzibar iishtaki Tanzania kwenye mahakama ya Afrika Mashariki kama Serikali ya Muungano itashindwa kumaliza tofauti iliyopo kuhusu uuzwaji wa sukari ya Zanzibar upande wa bara.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI


Sponsored by ZAMOTO MEDIA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini