Cardi B akanusha kupokea zawadi za Nicki Minaj zenye thamani ya Tsh Mil 11

Baada ya taarifa kusambaa kuhusiana na bifu kati ya rappa Cardi B pamoja na Nicki Minaj kuisha ikiwa ni baada ya wawili hao kuonekana wakiwa sawa na taarifa nyingine kudai kuwa Nicki Minaj alituma zawadi kwa familia ya Cardi B baada ya kupata taarifa  kuwa familia hiyo imepata mtoto wa kike July 10,2018.

Taarifa hizo zinadaiwa kuwa za uwongo baada ya kuripotiwa kuwa timu ya Cardi B ilifanya mawasiliano na wauzaji wa duka la “Petit Trèsor” ambalo linasemekana Nicki Minaj alinunua zawadi hizo na baadae kukanusha taarifa hizo na kusema kuwa hawakupata oda yoyote kutoka kwa Nicki Minaj.

Kupitia ukurasa wa instagram wa “Hollywood Unlocked” Cardi B ameonyesha kukanusha pia taarifa hizo za kupokea zawadi zenye thamani zaidi ya shillingi Millioni 11 za Kitanzania kutoka kwa Nicki Minaj siku ya jana July 12,2018 na kusema kuwa taarifa


Sponsored by ZAMOTO MEDIA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini