Huu ndio ugonjwa uliokatisha uhai wa mke wa Ephraim Kibonde


Huu ndio ugonjwa uliokatisha uhai wa mke wa Ephraim Kibonde
Familia ya Kibonde imetaja ratiba ya mazishi ya mke wa mtangazaji wa kituo cha radio cha Clouds FM, Ephraim Kibonde huku wakieleza chanzo cha umauti cha Sara Kibonde.

Familia ya Kibonde imesema Sara amekuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa saratani na hadi umauti unamkuta alikuwa amelazwa katika hospitali ya Hindu Mandal.

Sara katika maisha yake ya ndoa na Ephraem Kibonde wamefanikiwa kupata watoto watatu na mwili wake unatarajiwa kuzikwa Ijumaa hii katika makaburi ya Kinondoni.


Sponsored by ZAMOTO MEDIA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini