“Wengi wanaipenda Ufaransa na wanawapa nafasi, vijana wa nchi yangu, lakini wanatakiwa kuwa makini na kupambana kuhakikisha wanafanya maajabu ingawa Ufaransa ndiyo ina nafasi,” alisema Loga ambaye ni Mcroatia anayeinoa Sudan kwa sasa.Kwa upande wa Matola yeye alisema kuwa; “Ufaransa mimi naipa nafasi sababu ina wachezaji ambao wana uwezo wa kubadili matokeo wakati wowote tofauti na Croatia ambao wanawategemea viungo wawili tu.
Sponsored by ZAMOTO MEDIA
0 Comments