RAIS Trump wa Marekani amemteua Brett Kavanaugh kuwa Jaji wa Mahakama Kuu nchini humo kuziba nafasi iliyoachwa na Jaji Kennedy.
Video thumbnail
Kavanaugh aliwahi kufanya kazi chini ya rais mstaafu, George H.W. Bush, na alishiriki majukumu mbalimbali akiwa mwanasheria wakati wa utawala wa rais mstaafu, Bill Clinton.
Sponsored by ZAMOTO MEDIA
0 Comments