Uingereza Mdebwedo, Wakosa Nafasi ya Tatu Wachapwa Kichapo cha Mbwa Koko


Leo Julai 14 timu ya taifa ya Ubelgiji imefanikiwa kuibuka na ushindi wa jumla ya mabao 2 – 0 baada ya kuitandika Uingereza mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu wa michuano ya kombe la dunia. 

Mchezo huo ulioanza kuchezwa majira ya saa 11 jioni kwenye dimba la Krestovsky Ubelgiji ilipata mabao yake kupitia kwa wachezaji wake, Thomas Meunier dakika ya nne na Eden Hazard dakika ya 82. 

Kesho siku ya Jumapili kuna mchezo wa fainali wa kombe la dunia baina ya Ufaransa dhidi ya Croatia

Sponsored by ZAMOTO MEDIA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini