Walichokubaliana Waziri Mwakyembe na Wasanii juu ya Tozo ya Milioni


Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe amezungumza na wadau wa sanaa wakiwemo wasanii wa muziki kujadili kuhusu tozo ambayo imeanzishwa na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA).

Waziri Mwakyembe amewataka wasanii wachache pamoja na wadau wa sanaa wakae na BASATA kujadili namna kubadili huo mfumo.

Sponsored by ZAMOTO MEDIA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini