Viwanja Vikubwa, Vinauzwa: Bunju na Mapinga (Baobab sec)


Viwanja Vikubwa, Vinauzwa: Bunju na Mapinga (Baobab sec)

Kwa upande wa Mapinga Vipo viwanja kuanzia ukubwa wa sqm 400 kwa milion 4, sqm 800 kwa milion 8, sqm 1000 kwa milion 18, sqm 1400 kwa milion 18.2, sqm 1578 kwa milion 20.5, sqm 1986 kwa milion 25.8, sqm 2386 kwa milion 31, sqm 3018 kwa milion 39.2
Viwanja hivi vyote viko umbali wa km 2.5 kutoka main road. Miundombinu ya barabara, maji na umeme yote ipo. na viko na view nzuri sana.

Kwa upande wa Bunju vipo viwanja vya ukubwa wa sqm 1700 kwa milion 50 na sqm 3400 kwa milion 95
Viwanja hivi vimegusa main road (Bagamoyo Road).

Pia ipo Nursary school space yaenye ukubwa wa sqm 4600 na inauzwa kwa milion 46 tu.

Luksa kulipa kwa awamu 2 ndani ya miezi 3.

Hakuna dalali. contact mhusika:
call 0758603077, whatsap 0757489709

Sponsored by ZAMOTO MEDIA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini