Wale Mnaosubiri Kwa Hamu Makonda Atumbuliwe, Mtasubiri Sana!. Ukiwa ni Mpakwa Mafuta, Ni Mpakwa Mafuta!.


Jana baada ya Rais Magufuli, kuyasema aliyoyasema kumhusu Makonda, kuna wengi sasa wanasubiri kwa shauku kubwa Makonda atumbuliwe.

Kiukweli, watasubiri sana!.
Sababu pekee itakayofanya Makonda asitumbuliwe, ni kwa sababu huyu ni mpakwa mafuta. Ukiwa ni mpaka mafuta, then wewe ni mpakwa mafuta tuu, no matter what, hivyo haya yote yanayoendelea sasa kuhusu sakata la makontena ya Makonda, ni mapito tuu, hiyo kodi italipwa na maisha yataendelea.

By Pascal Mayalla


Sponsored by ZAMOTO MEDIA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini