Mwanadada Mamaradi mketema anasema kuwa sio kwamba yeye ni mwajiriwa katika studio za wasafi lakini yeye amejiajiri mwenyewe kutokana na kazi anayoifanya huko wasafi.
Zamaradi anasema kuwa kwa hatua aliyofikia hawazi kuajiriwa kwa sasa kwa sababu ameshakuwa na anatamani kuwa zaidi ya hapo lakini sio kupitia kuajiriwa kwa sababu kwa kipindi alichoajiriwa kinamtosha kujendelea kujikuza yeye mwenyewe.
Hata hivyo Zamaradi amsema kuwa misingi mikubwa aliyojiwekea ni kufanya kazi pamoja na watu mbalimbali kwa mikataba na muda fulani baada ya kazi kuisha basi anatafutwa watu wengine wanaotaka kufanya nae kazi.
Mimi sasa hivi ninaweza kusema kuwa ni boss wangu mimi mwenyewe,nilishaajiriwa na Clouds na sehemu mbalimbali zilizonikuza na kuwa zamaradi kama zamaradi mimileo. na kwa stage niliyofikia sasa hivi nafikiri ni bora kufanya kazi katika misingi itakayonikuza zaidi, na kwa ninavyoamini mimi sidani kama kuajiriwa kutanikuza zaidi.Kwaio ninapenda tu kupata na watu na kufanya kipindi flani na watu flani kwaio sijaajiriwa kwakweli.
Sponsored by ZAMOTO MEDIA
0 Comments