Alichoandika Ney Wa Mitego Leo
.
Repost @naytrueboytz #HakunaMaishaMagumu Kwani Bado Mnahasira Wazee Wa Mapovu😂😂😂.?! Wapuuzi Kweli Nyie Hamtaki Kuambiwa Ukweli😂.POVu RUKSAAAAA
Ujumbe: Mtoto Akikua Na Kujiona Anaweza Kuondoka Nyumbani Kwa Wazazi Na Kujitegemea, Haimaanishi Uanze Kuwatukana Wazazi (Walezi) Au Kuwadharau Kwasababu Kuna Kipindi Walikua Wanakuonea Au Kukufanyia Vitu Ambavyo Si Sivyo. Shukuru Mungu Kwakukupa Uwezo Wa Kujitegemea, Waheshimu Wote Walio Wahi Kukusaidia Ata Kidogo Tu. Walekebishe Kwa Kile Ulichokua Hukipendi Kufanyiwa Kwa Njia Njema Ili Wajue Wanachokifanya Si Sahihi Na Inabidi Kwenda Hivi.
Na Mungu Atazidi Kukubaliki Maradufu✊🏿. Ila Kiburi, Jeuri, Kejeli Kwa Walezi (Wazazi) Havita Kufikisha Popote.! Msg Ya Kila Kijana Hii. Sitaki Mapovu✊🏿 Ila Ukiona Inakuhusu Au Inamuhusu Mshkaji Wako Mwambie Abadilike Ata Dondokea Pua Siku 1.
Sponsored by
ZAMOTO MEDIA
0 Comments