Arusha: Maduka ya Kubadilishia Fedha za Kigeni Yadaiwa Kuwekwa Chini ya Ulinzi


Ulinzi mkali umeimarishwa kwenye maduka takribani yote yanayohusika na biashara ya kubadilisha fedha(Forex)

Yadaiwa kuna operesheni maalum inayoendelea ambayo hadi sasa haijafahamika inahusu nini

Aidha, inaelezwa kuwa wanaotaka kubadili fedha watakiwa kwenda kupata huduma hiyo Benki Kuu

Sponsored by ZAMOTO MEDIA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini