BABA wa mchezaji wa soka wa Timu ya Wekundu wa Msimbazi wa Simba Sports Club na Taifa Stars, Shiza Kichuya, ambaye ni dereva wa teksi maeneo ya Msamvu mjini Morogoro, hivi karibuni yamemfika mazito baada ya kutekwa na watu wasiojulikana.
Tukio hilo lilitokea Jumapili iliyopita saa nne usiku huku yakiwepo madai kwamba aliwekewa sumu kwenye kinywaji kabla ya kutekwa.
Sponsored by ZAMOTO MEDIA
0 Comments