Daraja la Iduguta limekatika kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha mkoani Tabora
Inashauriwa Wasafiri wanaoelekea mkoa wa Dar es Salaam waende moja kwa moja hadi Tabora ili wapitie Itigi
Aidha, wanaoelekea Arusha waende mpaka Puge wapitie Nkinga hospitali kisha watokee Ziba au Nyandekwa na kuendelea na safari
Sponsored by ZAMOTO MEDIA
0 Comments