Breaking News: Mbowe, Esta Matiko Wapelekwa Gereza la Segerea

Breaking News: Mbowe,Esta Matiko Wapelekwa Gereza la Segerea
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko wamepandishwa kwenye gari la polisi na kupelekwa Mahabusu ya Gereza la Segerea baada ya kufutiwa dhamana katika Mahakama ya Kisutu kwa kukiuka masharti ya dhamana yao.
Sponsored by ZAMOTO MEDIA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini