Tamasha la Fiesta lazuiwa Leaders Club :
Mkurugenzi wa manispaa ya Kinondoni, Aron Kagulumjuli amethibitisha kuzuiwa kwa tamasha la Fiesta kutokana na malalamiko ya wagonjwa na wamewataka waandaaji kuhamishia tamasha hilo viwanja vya Tanganyika Peakers vilivyopo Kawe, Dar es Salaam.
Sponsored by ZAMOTO MEDIA
0 Comments