Clouds Media Group Wamkata Msanii Nandy Tamasha la Fiesta Dar, Diamond Asababisha


Clouds Media Group wametangaza majina ya wasanii 29 wakatakaotumbuiza kwenye jukwaa la tamasha la Tigo Fiesta Jumamosi hii ya Novemba 24 katika viwanja vya Leaders jijini Dar Es Salaam.

Kwenye orodha hiyo ndefu, wapo Rostam, Weusi, Maua Sama, Wakazi, Ben Pol, Chege, Fid Q na wengineo, huku wasanii chipukizi nao wakipewa kipaumbele.

1. Weusi  2. Rostam 3. Fid Q 4. Wakazi 5. Rich Mavoco  6. The Mafik 7. Ben pol 8. Rosa Ree 9. Marioo 10. Barnaba  11. Billnass 12. Chege Chigunda 13. Dogo Janja 14. Msami 15. WhoZu  16. Mimi Mars  17. Lulu Diva  18. Zaiid  19.Mesen Selekta 20. Maua Sama 21. Tid 22. Qchief 23. Juma Nature 24.Jolie 25.Benson 26.Jay Melody 27.Mabantu
28.Brian Simba 29.Amber Lulu

Hata hivyo, kwenye orodha hiyo msanii aliyepiga karibia mikoa mitano kwenye tamasha hilo, Nandy jina lake halipo ingawaje Clouds wamesema kuwa List nyingine ya kambi ya upinzani itatangazwa baadae.

N.B kuna Listi ya kambi ya Upinzani bado.

Sponsored by ZAMOTO MEDIA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini