Nuh Mziwanda: “Mpenzi Wangu wa Sasa sio Sistaduu”

Mwimbaji Nuh Mziwanda amekaa kwenye Exclusive interview na AyoTV  na moja ya swali aliloulizwa ni kuhusu mahusiano yake mapya ambayo ameyaanza hivi karibuni huku ikiwa ni muda umepita bila kumshuhudia Nuh akimpost mpenzi wake.

Tazama hapa chini kuona Nuh Mziwanda akimuongelea mpenzi wake anayempost kwa sasa

 VIDEO:


Sponsored by ZAMOTO MEDIA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini