Tiffah Atajwa Kuwakalisha Chini Watoto wa Mastaa Duniani

Tiffah Atajwa Kuwakalisha Chini Watoto wa Mastaa Duniani
WAKATI baadhi ya wasanii wakubwa tu Bongo wakishindwa kufikisha wafuasi laki tano katika Mtandao wa Instagram, mtoto wa staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, Tiffah ameendelea kuwakimbiza watoto wa mastaa wakubwa Marekani.

Miongoni mwa watoto hao ni pamoja na mtoto wa mwanamitindo kutoka Marekani, Kim Kardashian na mumewe Kanye West:

North West (north. west_) ana miaka mitano, wafuasi 278,000., Saint West (itssaintwest) mwenye umri wa miaka miwili, ana wafuasi 56,000.,Chicago West (chicago. west_) mwenye miezi minne, ana wafuasi 41,000 na ushee.,Mbali na watoto hao wa Kim na Kanye, watoto wengine wanao-kimbi-zwa na Zari ni pam-oja na, Royalty Brown wa mwanamuziki Chris Brown (missroya-ltybrown) mwenye wafuasi 213,000

Watoto wa Beyonce;Blue Ivy (blueivy. carter) mwenye miaka sita, ana wafuasi 145,000.

Mtoto wa Wiz Khalifa;Sebastian Taylor Thomas (sebastian. taylor) mwenye umri wa miaka mitano, ana wafausi 6,477
Sponsored by ZAMOTO MEDIA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini