Timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 23 imeondolewa katika mashindano ya kufuzu Mataifa ya Afrika licha ya ushindi wa (3-1) dhidi ya Burundi, matokeo hayo yanaifanya Burundi isonge mbele kwa goli la ugenini na kuifanya ipate sare ya goli (3-3). Michuano ya Mataifa ya Afrika kwa vijana wenye umri chini ya miaka 23 yatafanyika mwakani nchini Misri
Sponsored by ZAMOTO MEDIA



0 Comments