VIDEO: Lema acharuka maduka kuzingirwa na Jeshi Arusha


Kufuatia taarifa iliyotolewa mapema jana na gavana ya benki kuu ya Tanzania Pro Florens Luoga juu ya uwepo wa oparesheni maalum ya ukaguzi na udhibiti wa biashara haramu ya fedha za kigeni na ukiukwaji wa sheria katika uendeshaji wa biashara za ubadiilishaji wa fedha, Mbunge wa Arusha mjini Godbles Lema amesema analaani operesheni hiyo kusimamiwa na wanajeshi kwani jambo hilo limeleta hofu kwa wananchi wa Arusha.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE



Sponsored by ZAMOTO MEDIA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini