VIDEO: Mtolea afunguka A-Z kilichomtoa CUF hadi CCM "Nilichoshwa kuishi maisha ya maigizo"


Aliyekuwa Mbunge wa Temeke kupitia tiketi ya CUF Abdallah Mtolea amefunguka kuhusiana na kilimchomfanya kuhamia Chama cha Mapinduzi CCM ambapo ni pamoja na kuchoshwa kuishi maisha ya maigizo.

VIDEO:


Sponsored by ZAMOTO MEDIA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini