Wafanyabiashara Soko la Mlango Mmoja Mwanza Wagoma


Ni baada ya Halmashauri ya jiji hilo kushindwa kuwapatia vibali vya ujenzi wa maduka yao 29 na vibanda 55 vilivyoteketea kwa moto Septemba 29, 2018

Waligoma na kufunga milango wanayotumia kuingia ndani ya soko hilo

Askari wa kutuliza ghasia wenye silaha za moto na mabomu ya machozi walifika na kuwaamuru kwa nguvu kufungua milango ya soko hilo ambayo ilifunguliwa

Sponsored by ZAMOTO MEDIA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini