BASATA Wafunguka Adhabu itakayomkuta Diamond na Rayvanny Endapo Watatumbuiza Wasafi Festival nje ya nchi (+audio)

Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) limeeleza maamuzi na adhabu litakalochukua, endapo Wasanii wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz na Rayvanny watakaidi adhabu waliyotoa ya kuwafungia kutofanya show ndani na nje ya nchi kwa muda usiojulikana.

Akiongea na Bongo5, Kaimu Katibu Mtendaji BASATA, Ndg. Onesmo Kayanda amesema kuwa huenda Wasanii hao wakashtakiwa kwa makosa ya jinai au kufutiwa usajili wao .

VIDEO:


Sponsored by ZAMOTO MEDIA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini