Msanii wa muziki nchini, ben pol nae ameamua kufuata nyayo za wasanii wenzake baada ya kuamua kujihusisha na mapenzi na mwanamke kutoka kenya aitwaye Anerlisa Muigai kama alivyofanya Diamond na Alikiba .
Wasanii wengi wa watanzania hasa wa kiue wamekuwa wakijiingiza na mahusiano na wasichana kutoka nje ya nchi hasa Kenya na Uganda huku wakiwaacha wasichana kutoka Tanzania wakiwa solemba.
Gumzo ili limekuwa la muda mregfu kuwa kwanini wasanii wa kiume kutoka tanzania wamekuwa kaitika mahusiano na wasichana kutoka nje ya tanzania huku kukiwa hakuna majibu kuhusu hilo, na zaidi sana ni kwamba mahusiano hayo yanakuwa ya uhakika mpaka kufikia hatua ya kufunga ndoa.
Unamfahamu Anerlisa Muigai? Huyu ni binti wa Kikenya na CEO wa NERO company ni campany ya maji inayoongoza nchini Kenya.
Mama yake Thabita Karanja ni moja ya matajiri wanawake nchini Kenya, ni CEO wa campany ya Keroche breweries.
Sponsored by ZAMOTO MEDIA
0 Comments