From lemutuz_superbrand
LIVE STRAIGHT TALK: Jana niliahidi Saa Nne Kamili nitatoa maoni yangu kuhusu uamuzi wa Basata kuwafungia Wasafi kwa sababu walizozisema na hasa kuhusiana na Wimbo huu ambao hapa unatumiwa na Wabunge wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiwa nje ya nchi walipokwenda kuwakilisha Taifa letu..Kwanza ninaomba niwapongeze Wahusika kwani kwa mara ya kwanza umetumika utaratibu unaotakiwa yaani badala ya ile tabia ya zamani ya Waziri kuwashukia Wasanii this time around ni Basata ndio wameanza kama nilivyoshauri huko nyuma kwamba Msanii anatakiwa afungiwe na Basata ili kumpa nafasi ya ku appeal kwa Waziri..ok Basata wamefanya nafasi yao na sasa Wasafi wana nafasi ya kuomba rufaa ya kumfikia Waziri ambaye ataangalia picha kubwa na kufanya uamuzi wenye busara na Balanced kwa pande zote mbili .....na infact Wasafi pia wanayo option ya kwenda Mahakamani kupinga zuio hilo la Basata ....isipokuwa tu ujumbe wangu kwa Basata ni kwamba more needs to be done than what you guys are doing kwa sababu mnafungia muziki ambao unapigwa kila mahali na kama kawaida I mean sikatai Sheria imewapa mamlaka ya kuamua maudhui na maadili ya muziki nchini lakini tatizo ni Mechanism yenu ya kusimamia maudhui bado haiko sawa cause huwezi kufungia muziki ambao huna uwezo wa kuuzuia usipigwe kabisa ....
I mean Wasafi hawapo juu ya Sheria lakini Wabunge wetu wanapoimba wimbo mlioupiga marufuku tena wakiwa nje ya nchi na kuu promote Wimbo huo huo mlioufungia kweli hilo Baraza lenu halina consciousness ya kukaa chini na kutafakari kwamba something is not right somewhere na mechanism yenu ya Censorship?
Ushauri wangu kwa Wasafi ni kuomba rufaa kwa Waziri na ikibidi hata kwa Waziri Mkuu, Makamu wa Rais na Rais mwenyewe Basata sio muamuzi wa mwisho ...Cause unaniambia Umefungia wimbo wangu kuwa hauna maadili and then Wabunge watunga Sheria wanajitokeza na kuimba in the public wimbo huo huo ambao Basata umeukataa tena Wabunge wameuimba nje wakiwakilisha Taifa na Basata ikakaa kimya so baada ya kuwaona Wabunge wanaimba nikaamua na mimi kuimba tena leo unawaacha wabunge na kunishukia mimi kuwa nimekosea ila sio Wabunge?..
SOMETHING IS WRONG SOMEWHERE it is about time now Basata mkajipima! - @lemutuz
Sponsored by ZAMOTO MEDIA
0 Comments