CCM Yatuma Salamu za Rambirambi Kufuatia Kifo Cha Ruge | ZamotoHabari.

CCM Yatuma Salamu za Rambirambi Kufuatia Kifo Cha Ruge
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa huzuni kubwa taarifa za kifo cha Ruge Mutahaba, ambaye amekuwa Mtendaji Mkuu wa Kituo cha Habari cha Clouds Media, kada wa CCM na Kiongozi Kijana aliyejijengea na ukubalifu kwa Chama, Serikali na Umma. Bwana Alitoa na Bwana Ametwaa Jina lake Lihimidiwe, Amina.

Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini