Humphrey Pole Pole Afungaka Kuhusu Ndege Mbovu ya KQ iliyopo Uwanja Ndege Dar, Ingekuwa Yetu...


Hii ni ndege ya Kenya Airways iko pale Uwanja wa Ndege DSM, nimewaza tu kwa mawinchi hayo na namna wataalam wanashughulika na injini ya ndege hiyo, “yani kama ingekuwa ni ndege yetu tungehaika kwa wiki nne dhidi ya wapotoshaji”. Ufundi ni jambo la kawaida. Tuipende Nchi yetu


Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini