Majizo "Nilitaka Kumuajiri RUGE Nilipofungua Redio ila Alicheka Sana"


"Kabla sijafungua redio nilimwambia Ruge nataka kufungua redio akaniambia kwa sababu unaweza vitu vingi fungua, nilitaka kumfanyia surprise na nilivyofungua nikamwambia tayari nimefungua redio na nataka kufanya kazi na wewe yaani (Nimuajiri) akacheka sana kisha akaniambia acha mambo yako" MAJIZO Mkurugenzi wa TVE na Efm ndani ya kipindi cha Clouds360

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini