Rais Magufuli Amlilia RUGE "Daima Nitaukumbuka Mchango Wake" | ZamotoHabari.

Rais Magufuli Amlilia Rug "Daima Nitaukumbuka Mchango Wake"

Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group Ruge Mutahaba amefariki dunia leo nchini Afrika Kusini alipokuwa akipatiwa matibabu. Kufuatia msiba huo Rais Magufuli ametoa pole kwa wanafamilia, ndugu, jamaa na marafiki.

 Tunatoa pole kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu na kumuomba Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema – Ameen!


Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini