Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametuma salamu za pole kufuatia kifo cha Mkurugenzi wa vipindi wa Clouds Media group, Ruge Mutahaba aliyefariki dunia leo.
Kupitia ukurasa wake wa Twitter ameandika ujumbe ufuatao.
"Nimepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha kijana wangu Ruge Mutahaba. Daima nitamkumbuka kwa mchango wake mkubwa ktk tasnia ya habari, burudani, na juhudi za kujenga fikra za maendeleo kwa vijana. Poleni wanafamilia,ndugu,jamaa na marafiki. Mungu amweke mahali pema, Amina".

0 Comments