Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group Ltd. Ruge Mutahaba amefariki Dunia jioni ya leo nchini Afrika Kusini. Mungu ailaze roho ya Marehemu Mahala pema peponi... Poleni sana familia ya Ruge Mutahaba
SISI NI WA MUNGU NA KWAKE TUTAREJEA
Sponsored by ZAMOTO MEDIA
0 Comments