Serikali yalipiga 'STOP' gazeti la The Citizen | ZamotoHabari.

Serikali imesimamisha leseni ya uchapishaji na usambazaji wa gazeti la The Citizen kwa muda wa siku 7 kuanzia leo Jumatano.

Serikali imedai Februari 27lilichapisha habari ya upotoshaji kuhusu maoni ya wataalamu waliozungumzia kuporomoka kwa shilingi iliyochapishwa Februari 23, 2019.


Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini