TFF wamlilia mwamuzi aliyefariki usiku wa kuamkia leo


Shirikisho la Mpiri wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko makubwa kifo cha Mwamuzi Mstaafu mwenye beji ya FIFA, Charles Mchau ambaye amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hosptali ya Rufaa ya KCMC mjini Moshi.


Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini