"Wanamuombea, wanasali na mimi huwa nawaambia ukisali anapona. Kawaida wanaenda kwao halafu jioni wanarudi (yaani Shubi na JuhJuh huwa walikuwa wanashinda nyumbani kwa Ruge kisha wanarudi kwa kwa Mama yao jioni), wakirudi wanakuambia tumemuona baba amewekewa kitu shingoni....." @zamaradimketema.
.
Tunaungana na Shubi na Russell Mutahaba (Juhjuh) kumuombea baba yao
0 Comments