Harmonize Afunguka Ishu ya Kutopost Kampeni ya Matibabu ya Ruge Kabla Hajafariki.."Labda Insta Yangu ilikuwa Busy" | ZamotoHabari.


Msanii wa muziki kutoka WCB, Harmonize akiwa katika kipindi cha The Playlist cha Times FM amefunguka kuzungumzia sababu ya yeye kutopost kampeni iliyokuwa inaendelea ya matibabu ya marehemu Ruge Mutahaba.

MSIKILIZE HAPA CHINI:


Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini