Kuna Vingi Tumefanya na Uwoya Ila Nimemiss Kumpiga Makofi -Dogo Janja | ZamotoHabari.

Kuna Vingi Tumefanya na Uwoya Ila Nimemiss Kumpiga Makofi -Dogo Janja
Mume wa zamani wa Irene Uwoya, Dogo Janja amefunguka vitu anavyovbimiss kwa aliyekuwa Mke wake huyo.

Dogo Janja amesema kuwa baada ya kutengana amesema kuwa kitu anachokimiss ni kumpiga makofi.

"Namiss kumpiga makofi" . Kuna vitu vingi ambavyo tumefanya pamoja na Irene Uwoya moment ni nyingi kikubwa namiss kumpiga, nafurahi kuona jinsi anavyopambana na toka zamani nilikuwa natamani kuona akifanya vitu vyake na kumtofautisha na watu wengine," Dogo Janja ameiambia XXL ya Clouds FM.


Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini