MAMIA ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam wamejitokeza kwa wingi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam. Kutoa salamu kwa Ruge Mtahaba aliyegusa nyoyo za wengi ziliongozwa na Rais Dkt.John Magufuli, Rais mstaafu wa awamu ya nne Dkt.Jakaya Kikwete aliyeambatana na mkewe pamoja na Waziri mkuu Kassimu Majaliwa na mkewe bi. Mary Majaliwa. Wakati huo huo msanii Naseeb Abul maarufu kama Diamond Platnumz pia amewasili katika viwanja hivyo kwa ajili ya kutoa salamu za mwisho.( Picha na Emmanuel Massaka, Globu ya Jamii)
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA
0 Comments