Daimond alikua anasubiriwa na watu wengi kama atashiriki Katika msiba wa Ruge Kutokana na tofauti zao za kibiashara zilizokuwa zikiendelea hadi kufikia hatua kuweka uadui mkubwa kati ya clouds media na wasafi TV.
Wapo wengi waliojitokeza adharani kumwambiaDaimond kuwa akumbuke fadhila alizofanyiwa na Ruge na ashiriki kumzika hata kama awakuwa sawa wakiwa hai.
Miongoni Mwa watu waliomwandikia waraka wa wazi Daimond kumsihi kushiriki katika msiba huo ambapo mmoja wapo alikuwa ni msanii Mrisho mpoto na leo amewafanyia saprise kwa kuitanguliza timu ya WCB na yeye kutokea baadaye
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA
0 Comments