MBUNGE WA CHADEMA JOSHUA NASSARI APOTEZA UBUNGE...SPIKA ASEMA JIMBO LA ARUMERU LIPO WAZI


Spika Ndugai ameandika barua kwenda Tume ya Uchaguzi kuarifu Kuwa Jimbo la Arumeru Mashariki lipo wazi kwa kile kilichoelezwa Kuwa Mbunge wa Jimbo hilo kupitia CHADEMA Joshua Nassari amepoteza sifa za Kuwa Mbunge.

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini