Mkuu wa mkoa wa Kagera Brigedia Jeneral Marco Gaguti Afika Nyumbani kwa Ruge Kuangalia Maandalizi ya Mazishi Ya Ruge | ZamotoHabari.

Mkuu wa mkoa wa Kagera Brigedia Jeneral Marco Gaguti Afika Nyumbani kwa Ruge Kuangalia Maandalizi ya Mazishi Ya Ruge
Mkuu  wa mkoa wa Kagera Brigedia Jeneral Marco Gaguti amefika nyumbani kijijini kabale, Bukoba  katika msiba wa Ruge Mutahaba ili  kuungana na kamati ya maandalizi kwa ajili ya kukamilisha mipango ya mazishi.

Mwili wa Ruge tayari umeshawasili nchini ukitokea Afrika Kusini na Utazikwa Jumatatu  March 4, 2019


Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini