Mwili wa Ruge Wawili Nchini Waziri Makamba Aongoza Msafara | ZamotoHabari.



Mwili wa  Mkurugenzi  wa Vipindi na Uzalishaji  Clouds Media Group, Ndugu Ruge Mutahaba  umewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere ukitokea Afrika Kusini alikokuwa akipatiwa matibabu.

Aliyeongoza mapokezi ya Mwili wa Ruge Mutahaba ni Waziri January Makamba akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es aalaam pamoja na Mkurugenzi wa Clouds Media Group.

Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini