Mwinjaku "Nani alijua Ruge kazawaliwa New York, Baba yake Proffessor na Mama Dokta? Muhaya wa wapi huyu? Hajikwezi" | ZamotoHabari.


Ameandika Mwinjaku

"Ruge hakuwa mpenda KIKI alikimbia sana WAANDISHI wa HABARI maisha yake binafsi hakuweka wazi..,wala hakuwa na acc inst., :

Nani alijua Ruge ni mtoto wa Professor? Nani alijua Ruge mama yake ni msomi ni Dr.? (Labda watu wake wa karibu kama mimi ) hata wazazi wake ni juzi tu Magazeti yamewaweka

Nani alijua Ruge kazawaliwa New York?Muhaya wa wapi huyu? Hajikwezi

Alivaa simple mnooo, lkn amekufa *KISHUJAA* na kuzikwa na watu *MASHUHURI na MAARUFU*

Tupande mbegu njema, panda nenda zako siku ya mwisho zitaota tu, tena kwa Ukubwa usiyoutarajia ! ( Hakuna Star mbele yake )"



Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini